Monday, June 17, 2013

Elimu ya Mtanzania hii ni kweli itamtoa pale alipo na kufaulu mitihani yake ya mbele tofauti na hapo walipo sasa.Kama hali ya amani itatoweka na ghasia zitazidi Serikali haitaweza kudili na vitu viwili kama unavyojua Serikali yetu huweza kuwa attention pale tatizo kubwa linapotokea na liwe moja.Sasa tunatengeneza nini?,maana mababu zetu walishatupatia uhuru lakini tumeshindwa kuulinda na kuanza ugaidi wa ajabu sisi wenyewe tunakulana.

SERIKALI YATENGA DONGE NONO MILLION MIAMOJA ATAKAYETOA TAARIFA MAGAIDI WA BOMU ARUSHA

Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imetenga kitita kwa yeyote atakayetoa taarifa yakinifu kuhusu tukio la bomu Arusha wakati wa kampeini za chama cha chadema.Tarifa ya leo Bungeni ilitolewa na Waziri wa nchi Lukuvi amesema kuwa Serikali imetenga milion miamoja {100mill Tz shlng}.Hivyo mtanzania yeyote mwenye taarifa halisi kuhusu tukio la bomu Arusha atajishindia kitita na ataepukana na umasikini.
Na nina ipa salute Serikali kwa kutoa mshikamano kwa hili tukio la Arusha.

Monday, June 3, 2013

SIASA YA TANZANIA SASA YA KUOGOFYA.

Ni hali dhahiri yenye kuonesha ukweli wa kubadilika kwa hali ya kisiasa hapa Tanzania, watanzania wamefikia kuogopa hali ya kisiasa inavyokwenda.
Viongozi wa n gazi za juu waliopo kwenye vyama wamekuwa ni watu wasioaminika hasa katika utendaji na uongozaji nwa vyama vyao.
sasa tunafungua bomu zito lisilopimika ujazo na hasa watu wanje ndo hapa watakuza uchumi wao.

Saturday, June 1, 2013

KIOMBOI>>IRAMBA NA STANDARD FM,0.91

Standard FM redio ambao ipo mjini Singida leo ilikuwa inafanya tamasha la kuwatembelea wakazi waz Kiomboi Bomani,wanaichi wsalijitahidi kujitokeza japo mapungufu ya hapa na pale husita kujionesha,wakazi wa iramba wamefurahi kwa kutembelewa na redoo hiyo.

WATANZANIA TUMPUMZISHE THE LATE MANGWEA>>>>>>>>>>TUNAMTESA

Watanzania wenzangu ni muda mwafaka sasa umpa Mungu alichokichagua.Mangwea alifariki toka juma tano iliyopita lakinai mazishi yake yamekuwa kizungumkuti hasa SA.Tarifa mpaka sasa zilizotolewa na Millard Ayo MTANGAZAJI WA Clouds Fm kwamba mwili wsa marehemu utafika Tanzania Juma nne watanzania wachache wanajaribu kuwa kidogo wakali kwa mwanamziki wao mpendwa hasa wanapoona mambo ya kutos taarifa pasipo kuorganise.