Sunday, August 11, 2013
Monday, July 8, 2013
Monday, June 17, 2013
Elimu ya Mtanzania hii ni kweli itamtoa pale alipo na kufaulu mitihani yake ya mbele tofauti na hapo walipo sasa.Kama hali ya amani itatoweka na ghasia zitazidi Serikali haitaweza kudili na vitu viwili kama unavyojua Serikali yetu huweza kuwa attention pale tatizo kubwa linapotokea na liwe moja.Sasa tunatengeneza nini?,maana mababu zetu walishatupatia uhuru lakini tumeshindwa kuulinda na kuanza ugaidi wa ajabu sisi wenyewe tunakulana.
SERIKALI YATENGA DONGE NONO MILLION MIAMOJA ATAKAYETOA TAARIFA MAGAIDI WA BOMU ARUSHA
Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imetenga kitita kwa yeyote atakayetoa taarifa yakinifu kuhusu tukio la bomu Arusha wakati wa kampeini za chama cha chadema.Tarifa ya leo Bungeni ilitolewa na Waziri wa nchi Lukuvi amesema kuwa Serikali imetenga milion miamoja {100mill Tz shlng}.Hivyo mtanzania yeyote mwenye taarifa halisi kuhusu tukio la bomu Arusha atajishindia kitita na ataepukana na umasikini.
Na nina ipa salute Serikali kwa kutoa mshikamano kwa hili tukio la Arusha.
Na nina ipa salute Serikali kwa kutoa mshikamano kwa hili tukio la Arusha.
Monday, June 3, 2013
SIASA YA TANZANIA SASA YA KUOGOFYA.
Ni hali dhahiri yenye kuonesha ukweli wa kubadilika kwa hali ya kisiasa hapa Tanzania, watanzania wamefikia kuogopa hali ya kisiasa inavyokwenda.
Viongozi wa n gazi za juu waliopo kwenye vyama wamekuwa ni watu wasioaminika hasa katika utendaji na uongozaji nwa vyama vyao.
sasa tunafungua bomu zito lisilopimika ujazo na hasa watu wanje ndo hapa watakuza uchumi wao.

Saturday, June 1, 2013
KIOMBOI>>IRAMBA NA STANDARD FM,0.91
Standard FM redio ambao ipo mjini Singida leo ilikuwa inafanya tamasha la kuwatembelea wakazi waz Kiomboi Bomani,wanaichi wsalijitahidi kujitokeza japo mapungufu ya hapa na pale husita kujionesha,wakazi wa iramba wamefurahi kwa kutembelewa na redoo hiyo.
WATANZANIA TUMPUMZISHE THE LATE MANGWEA>>>>>>>>>>TUNAMTESA
Watanzania wenzangu ni muda mwafaka sasa umpa Mungu alichokichagua.Mangwea alifariki toka juma tano iliyopita lakinai mazishi yake yamekuwa kizungumkuti hasa SA.Tarifa mpaka sasa zilizotolewa na Millard Ayo MTANGAZAJI WA Clouds Fm kwamba mwili wsa marehemu utafika Tanzania Juma nne watanzania wachache wanajaribu kuwa kidogo wakali kwa mwanamziki wao mpendwa hasa wanapoona mambo ya kutos taarifa pasipo kuorganise.
Friday, May 31, 2013
KIFO CHA MANGWEA UTATA MTUPU.baki
Watanzani wamebaki macho wazi kutofahamu kinachoendelea South Africa.
Taarifa zimezidi kuwa utata japo millard ayo wa Clouds Fm yupo huko,lakini ameshidwa kutoa taarifa ya ukweli kuhusu kifo cha Mangwea,
Waliokuwa na Mangwea wanakuwa wanaongea taarifa ambazo zinatatiza,
God ambaye inasemekana alikuwa anaishi na Mangwea wakati yupo Soutn Africa alinukuliwa akisema kuwa,'Mangwea wakati tumekaa naye alinitapikia halafu M TO THE P akasema Mangwea ni kawaida yake kutapika'.Wakati huo tukiwa tumepata taarifa kwamba Mangwea pamoja na M TO THE P walikutwa asubuhi wakiwa hawajielewi, sasa kkkama God alishajua kwamba ,Mangwea alikuwa anatapika wakkati yupo naye inakkuwa vipi anasema kuwa Mangwea alikuwa mzima wa afya.

WATU WAANZA KUTANGAZA BIASHARA KUPITIA KIFO CHA MANGWEA
Kutopata sitofahamu baada ya watu na kampuni zao kuanza kuinua vyombo vyao vya habari kupitia kifo cha Mangwea.
moja ya media ni CLOUDS FM ambayo imeanza kutangaza kifo cha Mangwea South afrika na kuwatangazia watanzania kutofuatilia vyombo vingine vya habari wakidai kuwa vinapotosha umma.
KKupitia hivyo inapelekea watanzania kuamini chombo kimoja tuu cha CLAUDS FM,
Hali hii inapelekea watanzania kkuamini kuwa watu wameanza kujitangazia media zao kuwa ni za ukweli kuliko media zingine.
Wskati ghuo taarifa ikkiwa imetolewa na P FUNK ambaye alikuwa ni producer wa Mangwea kwenye nyimbo katha, producer5 huyo ameseme hataki kusikia nyimbo zake alizozirekodi yeye kkwamba zisisikike kupigwam CLAUDS FM.
hIYO YOTE NI KUTOKANA NA CLOUDS FM KKUWANYONYA WASANII,
INAELEKEA MADAI YAWEZA YAKAWA KWELI MAANA HATA LADY JDEE ANAMADAI DHIDI YA CLOUDS FM

Wednesday, May 29, 2013
CLOUDS FM>>>>WAENDA SOUTH AFRICA KUFUATILIA KIFO CHA MANGWEA
Shirika la utangazaji Clouds Fm wamejitolea kufuatilia kwa kutoa habari kwa kina kuhusu kifo cha msanii Mangwe,Mtangazaji mahiri wa shirika hilo na kinara wa amplifaya Millard Ayo yupo huko huko kuhakikisha taarifa zinatolewa za ukweli kuhusu ifo cha msanii huyo.
Pia Radio Clouds Fm wamesema kuwa ni bora watanzania wawe wasikivu katika kusubiri uchunguzi wa kina kuhusu sababu kubwa kilichosababisha kifo cha msanii huyo.
R.I.P MANGWEA.
Pia Radio Clouds Fm wamesema kuwa ni bora watanzania wawe wasikivu katika kusubiri uchunguzi wa kina kuhusu sababu kubwa kilichosababisha kifo cha msanii huyo.
R.I.P MANGWEA.
MANGWEA AFARIKI DUNIA>>>>>>>
Msanii Albert Mangwea ambaye sasa ni marehemu kifo chake kimethibitishwa na dactari ambaye alikuwa zama na kusema kuwa amepokea mwili wa Mangwea akiwa tayari ameshafariki.
Habari kamili hasa kuhusu chanzo cha kifo hicho bado hazijatolewa licha ya kupata habari nyingi za uongo.
RIP MANGWEA
Habari kamili hasa kuhusu chanzo cha kifo hicho bado hazijatolewa licha ya kupata habari nyingi za uongo.
RIP MANGWEA
Tuesday, May 28, 2013
Thursday, May 23, 2013
UJIO WA OBAMA NI GUMSO KWA WAKENYA
Wakenya wengi wanazidi kuchanganywa na obama kutokuonesha umoja ndani ya nchi ya Kenya,ziara yake Africa haijaonesha kuwa ataenda Kenya hii inaonesha kuwa kuna kitu ambacho kinamfanya obama asiende kenya.
NGUVU BADO INAHITAJIKA MTWARA
Jeshi linapashwa liongeze nguvu zaidi mtwara maana hali bado tete japo taarifa ni za kificho sana na waandishi wa habari sasa hivi wamekuwa ni waoga sana kupeleea kuanza kukosa habari rasmi toka sehemu husika.
Ni kheri nguvu ya ulinzi ikajikita zaidi mtara pasipo kuwa na woga wa kuletalinzi sikivu.
Ni kheri nguvu ya ulinzi ikajikita zaidi mtara pasipo kuwa na woga wa kuletalinzi sikivu.
RAIS KIKWETE>>GESI NI YA WATANZANIA WOTE
Amiri jeshi mkuu wa Tanzani Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametoa kauli ambayo anataka kila mtanzania atambue kuwa gesi ni ya watanzania wote na hakuna eneo ambalo litasema hichi ni chetu.Ameendelea kusisitiza kuwa kama akiruhusu iwe hivyo maanake hata mwanza watasema samaki hawatoki na sehemu zingine watataka wamiliki vitu vyao wenyewe kwenye sehem8u yao husia wanapokaa.
Rais Kikwete amesisitiza kwa ulitaka jeshi la polisi kuwakamata wote wale waliohusika kuleta uchochezi huo.
Rais Kikwete amesisitiza kwa ulitaka jeshi la polisi kuwakamata wote wale waliohusika kuleta uchochezi huo.
AMANI BADO TETE MTWARA.
Hali bado sio swali kabisa Mtwara imetokea kuwa kama zoezi endelevu imetokea jana kuendelea kuchoma vibanda ambavyo vipo kwa mwandishi wa habari wa ITV ambaye anakaa na askali inavyosadikika,pia mwandishi huyo amekili kupokea vitisho mara tatu vikimkanya na utendaji wake wa kazi.
Hali bado sio nzuri kabisa japo kauli ya kamanda wa mkoa wa mtwara amesema wananchi waendelee na shughuli zao za kila siku na kutokuwa na wasiwasi wa maisha na mali zao, lakini kinachosemwa na kamanda huyo ni tofauti na hali ambayo bado ipo sasa hivi.

TANZANIA IMEPOTEZA GOOD WILL DUNIANI>>>KUPITIA GESI MTWARA
Dunia inavyoitazama Tanzania ni tofauti na sisi watanzania tunavyoichukulia.Matokeo ya kupoteza amani Tanzania ni matokeo ya kupoteza fedha za kigeni maana watali hawatapatikana tena,pia haya ni matokeo halisi ya kwisha kwa nchi.Tunadhani tunaigiza kumbe ndio tunatenda.
Utanzania ukwapi?,Jakaya mrisho kikkwete mpaka sasa hawezi kulimaliza hili peke yake bali ni kulikata watanzania wote na kuwa na umoja kama mwanzo.Amani tunaibomoa wenyewe na sisi wenyewe ndio tunachangia kuharibu imani ambayo tunayo watanzania.Tukithubutu kutenda tutatenda ila tukithubutu kutulia na kujenga maendeleo tutayajenga.
WATANZANIA WENZANGU TUKATAE;
Usikubali uwe miongoni mwa wapoteza amani Tanzania unavyofanya mtoto wako anajua na kukuona na jamii kwa jumla.

Wednesday, May 22, 2013
MTWARA NA GESI
GESI INAENDA KUTUSAMBARATISHA WATANZANIA
Tunaanza kugombana sisi kwa sisi kabla ya watu wa nje kuja kutumaliza kabisa.Nani atasisimama na kuweza kuepusha jambo hili,ni nani ataonekana kuwa anahaki ndani ya vurugu hizi mtwara,tuwe wamoja watanzania tusije tukamjkumbuka baba wa taifa wakati huo tutakuwa tumepoteza watanzania wengi sana.
Tuesday, May 21, 2013
CCM MARUFUKU KUJITANGAZA.
NAIBU KATIBU MKUU WA CCM NAPE ATOA KAULI;
Nape Nawie ambaye ni katibu mkuu wa chama cha mapinduzi amesema na kutoa onyo kwa wanachama wake kuwa sio ruksa kuanza kujinadi wale ambao wanamalengo ya kutaka urais 2015.
Nape ameyasema hayo baada ya wanachama wake kuanza kujipitisha kwa kutangaza nia.

CLOUDS FM >>>>>>>>>>>>>>>TWENDE ZETU
MSIMU MPYA WA CLOUDS FY.
Ni msimu wa aina yake wenye kuwapa nguvu watanzania hasa kuwafariji kimaendeleo na kujitambua na kuweza kujisimamia hasa vijana.
Radio hiyo imekuwa kivutio kikubwa na kutokea kutofikiwa na Radio zingine Tanzania.

Mch.Msigwa awa gumso.
Mbunge wa NCCR Mch,Msigwa.
Msigwa azidi kuumiza vichwa kwa viongozi serikalini na wa chama cha mapinduzi kwa kuwa na ukomavu mzito kwenye siasa.Mbunge huyo wa Kigoma amekuwa akiwachanganya sana na kuwapotezea nguvu serikali na hata kiti cha spika hushindwa la kufanya dhidi ya Mbunge huyo.
Akiwa anatoa hotuba huwa anauzoefu mkuu kumfanya kila mbunge wa chama pinzani na wale wa washikilia dola huwa makini kwa kumsikiliza Mbunge Msigwa.Maana hata hotuba yake ikiwa na mapungufu ila huwa inavutia kuisikiliza na kumsikiliza pia.

Sunday, May 19, 2013
TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY
CHUO CHA UHASIBU SINGIDA;
Kwa mujibu wa Prospector ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania kila panapofika mwisho wa mwaka hufanya mitihani ya kumaliza muhula na wale wa mwaka wa tatu wanakuwa wanahitimu mitihani yao.
Wakati kkama huu wanafunzi wanajiandaa na mitihani yao, hivyo usomaji wa wanafunzi hubadilika na kuuwa wa kasi kubwa yenye nguvu.
Lakini ugumu wanaopata wanafunzi hao sasahivi ni kupata kadi maalumu za kwenda kufanyia mtihani, na bila hizo kadi hairuhusiwi kufanya mtihani.
Na hizo kadi hutoka pale unapomaliza ada yako ya mwaka.
Ugumu huo unatokea hasa pale chuo kinapoona kinapoteza fedha kwa uaminifu mdogo toka kwa walipaji.

Saturday, May 18, 2013
SERIKALI YAPIGA KIMYA
Naishangaa serikali kutotoa taarifa rasmi juu ya matokeo ya kidato cha nne.
licha ya kutoa kauli bungeni lakini kauli hiyo haina nguvu maana hakuna kinachoendelea dhidi ya kauli iliyotolewa.
licha ya kutoa kauli bungeni lakini kauli hiyo haina nguvu maana hakuna kinachoendelea dhidi ya kauli iliyotolewa.
Wednesday, May 15, 2013
WATANZANIA TUKATAE
Ni jukumu la kila mmoja wetu kukataa kushiriki katika mwenendo mbaya wa kuvunja amani katika nchi yetu.
Nyerere alishawahi sema Tanzania ni ya watanzania na sio nchi ya wachache wanaotaka pata umaarufu kupitia kuvunja amani ya nchi.
Nyerere alishawahi sema Tanzania ni ya watanzania na sio nchi ya wachache wanaotaka pata umaarufu kupitia kuvunja amani ya nchi.
NI ngumu kutambua
Ni vigumu sana kuelewa kuwa rafiki yako yupo pamoja na wewe kwanye shida na raha.
Wengi wamekuwa wakilia sana kwasababu ya marafiki, wameshindwa kusonga mbele kulingana na uzio waliowekewa na marafiki, wengine wamekuwa wakipotezwa duniani kishirikina kwasababu ya urafiki.
Kuwa makini daima usidanganywe na rafiki.

USICHOKE NA MAISHA
Maisha daima ni safari;
Wakati wote unapaswa utambue kuwa tunaishi lakini tupo safarini daima, ndo maana unasikia fulani kafa, mwingine anaumwa, mwingine hajui leo ale nini, muda wote maisha yamekuwa ni fumbo ambalo kulifumbua bado ni safari mpya.

Tuesday, May 14, 2013
Ugumu wa maisha
Umu wa maisha bado gumso Tanzaniagu
Bado watanzania zaidi ya asilimia 95 maisha yao ni magumu hali ambayo wazazi inawawia ugumu kuendesha huduma za malezi kwa mtoto kama kumpeleka shule na maadili yanayofaa.
Familia nyingi hazina hazina yeyote wala malengo yeyote mbele.
Maisha yamezidi kuwa matatani kila panapokicha na panapoitwa asubuhi sio mchana wala usiku.
Mikakati bado haina tija yeyote kuleta mabadiliko.
uhalifu nao ni gumso
Tazama uhalifu wenye kutumia nguvu kubwa
Ni ngumu sana kujua sehemu uhalifu ulipokuwa unafanyika maana wamepigwa picha kabla ya kumuuwa mdhaniwa.
Ugumu unasemekana ulikuwa mubwa sana dhidi ya huo mtafaruku, risasi zilikuwa zinarindima kama unavyojionea kwenye hii picha.

Monday, May 13, 2013
KAMA MOVE KUMBE KWELI,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,wellcome to toxi
katu hauwezi kwashakatu hauwezi kwashakatu hauwezi kwasha
Sunday, May 12, 2013
SEHEMU AMBAYO OSAMA AMEWAHI KUISHI...................
Shirika hilo limesema sehemu hii imekuwa ni ya gharama sana hasa unapoenda kutembelea imekuwa ni kivutio kikubwa sana na inayopendwa na wengi hasa viongozi wa dunia kwa ujumla.
Sehemu hii ipo porini lakini jinsi ilivyotengenezwa huwezi tambua kama ni porini lakini ukichunguza kwa makini utaamini.
matthew.shakitonka@yahoo.com
Singida kiomboi.....................well come to toxi.
Mtoto Amri Issa atoa ndoto zake,
baada ya matokeo ya form four.
Mtoto huyu Amri issa mwenye miaka 7, anasoma darasa la 3, katika shule ya msingi kiomboi bomani, amesema kuwa kulingana na matokeo ya kidato cha nne mwaka 2012 kuwa sio mazuri ni bora serikari ikajipanga katika kutoa agira za kazi kuanzia yule anayemaliza darasa la saba mtoto huyo amenukuliwa akisema
'' mimi nilikuwa napenda kuishauri serikali ya kikwete kutoa fursa za ajira kuanzia wale wanaomaliza darasa la saba, kama matokeo ya kidato cha nne ni mabovu na matokeo ya darasa la saba na mazuri ni bora serikali ianze kuchukua matokeo ya darasa la saba tuu''
Mtoto huyo ameonekana kuwa na maneno ya kiutu uzima kulingana na dunia jinsi inavyokwenda
Je, unaiamini????????................well come to toxi
Jitazame ujiamini kuwa unaweza
na jikubali kwa kuthubutu;
Kama wazazi walithubutu wakakutoa duniani na kukulea mpaka sasa unajitambua wewe ni nani haina haja ya kushindwa kujiamini,popote unapokuwa jiweke wewe wa kwanza hata kama sio,jikubali kwa kujiheshimu mwenyewe pasipo kuwa na wasiwasi wa kusema kuwa bila fulani siendi mbele.
Ridhia kuwa na uamuzi mgumu popote pale panapobidi, iwe kwa rafiki yao,ofisini na nk,
usikubali kuburutwa kimawazo na mtu yeyoted yule, pokea ushauri toka pande zote bila kuenesha utofauti wa kimawazo, ila tumia muda wako maalumu kutatua tatizo lako na kufuata ushauri japo kwa uchache.
Tukiamina daima tutaweza
matthew.shakitonka@yahoo.com
SIKU YA MAMA..........well come to toxi
SIKU YA MAMA DUNIANI
Siku ya mama duniani imekuwa inaadhimishwa pasipo matumaini yeyo kwa mama mhusika ambaye nbiye mama.
Hapa tanzania imeuwa haina nguvu kabisa hii siku ya mama duniani tofauti na sherehe zingine zinazoadhimishwa.
Mama bado hatambui haki yake ya msingi ya kuadhimishwa kwa siku hiyo,jj.
kila siku mama ananyanyaswa,anapigwa,anateswa pasipo kutambua aende wapi akapate msaada licha ya kuwepo kwa asasi mbalimbali ambazo zimejikita kumkwamua mama wa Kitanzania.
Wamekuwa wakijinufaisha viongozi fursa zinazomlenga mama,hasa mama wa kijijini hajui hata leo kama ilikuwa siku ya mama duniani.
matthew.shakitonka@yahoo.com
Saturday, May 11, 2013
WELLCOME
WELL>COME TO.....................TOXI.....
.
Shakitonkatoxi.blogsport.com
email
matthew.shakitonka@yahoo.com
or
shakitonkamatthew@gmail.com
also
BBM,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,and ...............etc
toxi wellcome you,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Enjoy safetly,,,,,,,,,,,,,,................

UNAJITAMBUA???????????????
UPO WAPI INJE NA HAPA????
FOLLOW TOXI
Ni kweli kabisa umeamua kushindwa kusimama wewe kama wewe mpaka uwe na mpenzi wako???????
Kila siku umekuwa ukimsumbua rafiki yako akukopeshe hela kwani yeye ni bank?????????????
Umekuwa una wapenzi ambao hawana idadi ili upate ukimwi????????????????
Umejkuwa muongo kwa wazazi wako na unakuwa mkweli kwa mpenzi wako hiyo inakuja?????????????
Unashindwa hata siku moja kutembea pekee yako bila rafiki siku amefariki????????????????????
Umekuwa ukijipendekeza kwa wenye navyo ili usiaibike unapokosa kwani wewe shoga???????????
Punguza umezidi kuwa mnoko

UHASIBU SINGIDA
YALIOJILI UHASIBU SINGIDA
Hatimaye Uhasibu singida ni Chuo ambacho kimejulikana sana kwa utoaji wake wa eliumu.
Chuo hicho cha Singida ambacho kipo chini ya Mh;Kingu akiwa kama Mkuu wa chuo hicho.
Uhasibu Singida kimekuwa kikiongoza katika kila mitihani inayokuwa inafanyika kwa campus zote za Taasis ya Uhasibu Tanzania.
Cuo hicho kimekuwa kikitoa wanafunzi ambao wengi wanafanya vizuri wakiwa katika shughuli ya utendaji ,
Wingi wa wafanyakazi wanatoka katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania.

UDINI NA UKABILA
TANZANIA TETE
Hauna vita mbaya duniani kama vita ya udini na ukabila;
Amani ya Tanzania imeshuka sana baada ya watu wachache wenye imani zao za kujinufaisha wenyewe kuanza kuliingiza Taifa la Tanzania kwenye misiba anayoshangaza dunia.
Macho ya tanzania yameanza kuchafuka baada ya udini kutaka kushika kasi nchini.
Serikali inajitahidi kulifuata suala hili ina linakuwa na ugumu wake maana limeibuka pasipo kutambua.
Nyerere alishawahi kusema kuwa udini na ukabila tusifuare maana ni tutabomoa inchi yetu sisi wenyewe,baba wa Taifa alijitahidi kuziba nyufa za udini na ukabila pasipo kuwa na hofu yeyote ile maana alikuwa anajua anachokifanya.
Serikali isifumbie macho suala hili na kuliogopa,bali ichuue sheria ngumu kufanya msako na udumisha ulinzi ili kurudisha amani ambayo inataka kuwa guso kwenye nchi yetu.
matthew.shakitonka@yahoo.com
DJ FETTY KINARA KWENYE UZINDUZI
Dj fetty;
Dj fetty ameonekana kuwa kinara mwenye kuzindua msimu mpya wa Clause FM ambao unafanyika Dodoma.
Fetty ameonekana akiwakosha wengi hasa akiwa anatangaza.
Pia Fetty hakusita kutoa yaliyomo ndani ya moyo wake jinsi alivyoinua wasani wa bongo fleva hapa inchin Tanzania.

KKKT KUNDUCHI
UVUMI WA BOMU KUNDUCHI
Ni uvumi ulionea ghafla ukisema kuwa bomu la lipuka KKKT KUNDUCH.
Uvumi huu umekosa vishikizo baada ya Kamanda wa kanda Maalumu ya Da es salaam amesema kuwa hakuna tukio lolote ambalo limetokea na ilikuwa ni harakati za kupambana na uhalifu ambao iliwalazimu askari kutumia bomu la machozi kukabiliana na uhalifu huo.Alisema kuwa kwasababu wahalifu walipitia karibu na kanisa hilo ndoomaana watu wamekuwa na wasiwasi huo.
Hata hivyo kamanda huyo ametoa rai kwa Watanzania uendelea kufichua uovu wa kila aina ya uhalifu .

UZINDUZI CLAUSE FM DODOMA
UZINDUZI WA MSIMU MPYA WA CLAUSE FM;
Ni uzinduzi wa aina yake wa msimu mpya wa Clause FM ambao unafanyika makao makuu Dodoma.Uzinduzi huo ulnahudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo viongozi kama vile Waziri Mkuu Pinda,Zitto Kabwe.January Makamba na wengine wengi ambao leo walikuwa wanato fursa ambazo zipo hapa Tanzania.
Zitto Kabwe ilionekana aivutia sana katika utoaji wa fursa hizo.
Wingi wa watu unajidhihirisha wazi kuwa Clause EM ni Radio yenye kupendwa na wengi.
matthew.shakitonka@yahoo.com
Friday, May 10, 2013
Hiki ni chuo ambacho kinato mafunzo mbalimbali.ni tawi la Uhasibu Singida.Ni moja ya chuo ambacho ni kinara katika utoaji wa elimu ya Uhasibu hapa inchini Tanzania.Wakufunzi wamebobea katika ufundishaji na wamejikita zaidi katika kumjenga mwanafunzi kujiamini kwenye ajira na kutoa huduma inayotakiwa.
HONGERA MH.KINGU MKUU WA CHUO CHA UHASIBU TAWI LA SINGIDA.

Gain With M e
Ni msichana anayesoma chuo cha Uhasibu Singida campus.Anachukua Diploma ya Ugavi akijiandaa kwenda kucchukua degree yake Mzumbe.
Subscribe to:
Posts (Atom)

IMG0493A.jpg)
IMG0496A.jpg)