Monday, June 17, 2013

Elimu ya Mtanzania hii ni kweli itamtoa pale alipo na kufaulu mitihani yake ya mbele tofauti na hapo walipo sasa.Kama hali ya amani itatoweka na ghasia zitazidi Serikali haitaweza kudili na vitu viwili kama unavyojua Serikali yetu huweza kuwa attention pale tatizo kubwa linapotokea na liwe moja.Sasa tunatengeneza nini?,maana mababu zetu walishatupatia uhuru lakini tumeshindwa kuulinda na kuanza ugaidi wa ajabu sisi wenyewe tunakulana.

No comments:

Post a Comment