Monday, June 17, 2013

SERIKALI YATENGA DONGE NONO MILLION MIAMOJA ATAKAYETOA TAARIFA MAGAIDI WA BOMU ARUSHA

Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imetenga kitita kwa yeyote atakayetoa taarifa yakinifu kuhusu tukio la bomu Arusha wakati wa kampeini za chama cha chadema.Tarifa ya leo Bungeni ilitolewa na Waziri wa nchi Lukuvi amesema kuwa Serikali imetenga milion miamoja {100mill Tz shlng}.Hivyo mtanzania yeyote mwenye taarifa halisi kuhusu tukio la bomu Arusha atajishindia kitita na ataepukana na umasikini.
Na nina ipa salute Serikali kwa kutoa mshikamano kwa hili tukio la Arusha.

No comments:

Post a Comment