Wednesday, May 29, 2013

CLOUDS FM>>>>WAENDA SOUTH AFRICA KUFUATILIA KIFO CHA MANGWEA

Shirika la utangazaji Clouds Fm wamejitolea kufuatilia kwa kutoa habari kwa kina kuhusu kifo cha msanii Mangwe,Mtangazaji mahiri wa shirika hilo na kinara wa amplifaya Millard Ayo yupo huko huko kuhakikisha taarifa zinatolewa za ukweli kuhusu ifo cha msanii huyo.
Pia Radio Clouds Fm wamesema kuwa ni bora watanzania wawe wasikivu katika kusubiri uchunguzi wa kina kuhusu sababu kubwa kilichosababisha kifo cha msanii huyo.
R.I.P MANGWEA.

No comments:

Post a Comment