Sunday, May 12, 2013

Je, unaiamini????????................well come to toxi

Jitazame ujiamini kuwa unaweza
na jikubali kwa kuthubutu;
Kama wazazi walithubutu wakakutoa duniani na kukulea mpaka sasa unajitambua wewe ni nani haina haja ya kushindwa kujiamini,popote unapokuwa jiweke wewe wa kwanza hata kama sio,jikubali kwa kujiheshimu mwenyewe pasipo kuwa na wasiwasi wa kusema kuwa bila fulani siendi mbele.
Ridhia kuwa na uamuzi mgumu popote pale panapobidi, iwe kwa rafiki yao,ofisini na nk,
usikubali kuburutwa kimawazo na mtu yeyoted yule, pokea ushauri toka pande zote bila kuenesha utofauti wa kimawazo, ila tumia muda wako maalumu kutatua tatizo lako na kufuata ushauri japo kwa uchache.
Tukiamina daima tutaweza

matthew.shakitonka@yahoo.com

No comments:

Post a Comment