Friday, May 31, 2013

KIFO CHA MANGWEA UTATA MTUPU.baki

Watanzani wamebaki macho wazi kutofahamu kinachoendelea South Africa.
Taarifa zimezidi kuwa utata japo millard ayo wa Clouds Fm yupo huko,lakini ameshidwa kutoa taarifa ya ukweli kuhusu kifo cha Mangwea,
Waliokuwa na Mangwea wanakuwa wanaongea taarifa ambazo zinatatiza,
God ambaye inasemekana alikuwa anaishi na Mangwea wakati yupo Soutn Africa alinukuliwa akisema kuwa,'Mangwea wakati tumekaa naye alinitapikia halafu M TO THE P akasema Mangwea ni kawaida yake kutapika'.Wakati huo tukiwa tumepata taarifa kwamba Mangwea pamoja na M TO THE P walikutwa asubuhi wakiwa hawajielewi, sasa kkkama God alishajua kwamba ,Mangwea alikuwa anatapika wakkati yupo naye inakkuwa vipi anasema kuwa Mangwea alikuwa mzima wa afya.

No comments:

Post a Comment