Wednesday, May 29, 2013

MANGWEA AFARIKI DUNIA>>>>>>>

a
Msanii Albert Mangwea ambaye sasa ni  marehemu kifo chake kimethibitishwa na dactari ambaye alikuwa zama na kusema kuwa amepokea mwili wa Mangwea akiwa tayari ameshafariki.
Habari kamili hasa kuhusu chanzo cha kifo hicho bado hazijatolewa licha ya kupata habari nyingi za uongo.
RIP MANGWEA

No comments:

Post a Comment