Saturday, May 11, 2013

UDINI NA UKABILA

TANZANIA TETE
Hauna vita mbaya duniani kama vita ya udini  na ukabila;
Amani ya Tanzania imeshuka sana baada ya watu wachache wenye imani zao za kujinufaisha wenyewe kuanza kuliingiza Taifa la Tanzania kwenye misiba anayoshangaza dunia.
Macho ya tanzania yameanza kuchafuka baada ya udini kutaka kushika kasi nchini.
Serikali inajitahidi kulifuata suala hili ina linakuwa na ugumu wake maana limeibuka pasipo kutambua.
Nyerere alishawahi kusema kuwa udini na ukabila tusifuare maana ni tutabomoa inchi yetu sisi wenyewe,baba wa Taifa alijitahidi kuziba nyufa za udini na ukabila pasipo kuwa na hofu yeyote ile maana alikuwa anajua anachokifanya.
Serikali isifumbie macho suala hili na kuliogopa,bali ichuue sheria ngumu kufanya msako na udumisha ulinzi ili kurudisha amani ambayo inataka kuwa guso kwenye nchi yetu.


matthew.shakitonka@yahoo.com


No comments:

Post a Comment