Thursday, May 23, 2013

RAIS KIKWETE>>GESI NI YA WATANZANIA WOTE

Amiri jeshi mkuu wa Tanzani Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametoa kauli ambayo anataka kila mtanzania atambue kuwa gesi ni ya watanzania wote na hakuna eneo ambalo litasema hichi ni chetu.Ameendelea kusisitiza kuwa kama akiruhusu iwe hivyo maanake hata mwanza watasema samaki hawatoki na sehemu zingine watataka wamiliki vitu vyao wenyewe kwenye sehem8u yao husia wanapokaa.
Rais Kikwete amesisitiza kwa ulitaka jeshi la polisi kuwakamata wote wale waliohusika kuleta uchochezi huo.

No comments:

Post a Comment