CHUO CHA UHASIBU SINGIDA;
Kwa mujibu wa Prospector ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania kila panapofika mwisho wa mwaka hufanya mitihani ya kumaliza muhula na wale wa mwaka wa tatu wanakuwa wanahitimu mitihani yao.
Wakati kkama huu wanafunzi wanajiandaa na mitihani yao, hivyo usomaji wa wanafunzi hubadilika na kuuwa wa kasi kubwa yenye nguvu.
Lakini ugumu wanaopata wanafunzi hao sasahivi ni kupata kadi maalumu za kwenda kufanyia mtihani, na bila hizo kadi hairuhusiwi kufanya mtihani.
Na hizo kadi hutoka pale unapomaliza ada yako ya mwaka.
Ugumu huo unatokea hasa pale chuo kinapoona kinapoteza fedha kwa uaminifu mdogo toka kwa walipaji.
No comments:
Post a Comment