SIKU YA MAMA DUNIANI
Siku ya mama duniani imekuwa inaadhimishwa pasipo matumaini yeyo kwa mama mhusika ambaye nbiye mama.
Hapa tanzania imeuwa haina nguvu kabisa hii siku ya mama duniani tofauti na sherehe zingine zinazoadhimishwa.
Mama bado hatambui haki yake ya msingi ya kuadhimishwa kwa siku hiyo,jj.
kila siku mama ananyanyaswa,anapigwa,anateswa pasipo kutambua aende wapi akapate msaada licha ya kuwepo kwa asasi mbalimbali ambazo zimejikita kumkwamua mama wa Kitanzania.
Wamekuwa wakijinufaisha viongozi fursa zinazomlenga mama,hasa mama wa kijijini hajui hata leo kama ilikuwa siku ya mama duniani.
matthew.shakitonka@yahoo.com
No comments:
Post a Comment