Tuesday, May 21, 2013

Mch.Msigwa awa gumso.

Mbunge wa NCCR Mch,Msigwa.
Msigwa azidi kuumiza vichwa kwa viongozi serikalini na wa chama cha mapinduzi kwa kuwa na ukomavu mzito kwenye siasa.Mbunge huyo wa Kigoma amekuwa akiwachanganya sana na kuwapotezea nguvu serikali na hata kiti cha spika hushindwa la kufanya dhidi ya Mbunge huyo.
Akiwa anatoa hotuba huwa anauzoefu mkuu kumfanya kila mbunge wa chama pinzani na wale wa washikilia dola huwa makini kwa kumsikiliza Mbunge Msigwa.Maana hata hotuba yake ikiwa na mapungufu ila huwa inavutia kuisikiliza na kumsikiliza pia.

No comments:

Post a Comment