Wednesday, May 15, 2013

USICHOKE NA MAISHA

Maisha daima ni safari;
Wakati wote unapaswa utambue kuwa tunaishi lakini tupo safarini daima, ndo maana unasikia fulani kafa, mwingine anaumwa, mwingine hajui leo ale nini, muda wote maisha yamekuwa ni fumbo ambalo kulifumbua bado ni safari mpya.

No comments:

Post a Comment