UVUMI WA BOMU KUNDUCHI
Ni uvumi ulionea ghafla ukisema kuwa bomu la lipuka KKKT KUNDUCH.
Uvumi huu umekosa vishikizo baada ya Kamanda wa kanda Maalumu ya Da es salaam amesema kuwa hakuna tukio lolote ambalo limetokea na ilikuwa ni harakati za kupambana na uhalifu ambao iliwalazimu askari kutumia bomu la machozi kukabiliana na uhalifu huo.Alisema kuwa kwasababu wahalifu walipitia karibu na kanisa hilo ndoomaana watu wamekuwa na wasiwasi huo.
Hata hivyo kamanda huyo ametoa rai kwa Watanzania uendelea kufichua uovu wa kila aina ya uhalifu .
matthew.shakitonka@yahoo.com
No comments:
Post a Comment