Mtoto Amri Issa atoa ndoto zake,
baada ya matokeo ya form four.
Mtoto huyu Amri issa mwenye miaka 7, anasoma darasa la 3, katika shule ya msingi kiomboi bomani, amesema kuwa kulingana na matokeo ya kidato cha nne mwaka 2012 kuwa sio mazuri ni bora serikari ikajipanga katika kutoa agira za kazi kuanzia yule anayemaliza darasa la saba mtoto huyo amenukuliwa akisema
'' mimi nilikuwa napenda kuishauri serikali ya kikwete kutoa fursa za ajira kuanzia wale wanaomaliza darasa la saba, kama matokeo ya kidato cha nne ni mabovu na matokeo ya darasa la saba na mazuri ni bora serikali ianze kuchukua matokeo ya darasa la saba tuu''
Mtoto huyo ameonekana kuwa na maneno ya kiutu uzima kulingana na dunia jinsi inavyokwenda
No comments:
Post a Comment