Thursday, May 23, 2013

TANZANIA IMEPOTEZA GOOD WILL DUNIANI>>>KUPITIA GESI MTWARA

Dunia inavyoitazama Tanzania ni tofauti na sisi watanzania tunavyoichukulia.Matokeo ya kupoteza amani Tanzania ni matokeo ya kupoteza fedha za kigeni maana watali hawatapatikana tena,pia haya ni matokeo halisi ya kwisha kwa nchi.Tunadhani tunaigiza kumbe ndio tunatenda.
Utanzania ukwapi?,Jakaya mrisho kikkwete mpaka sasa hawezi kulimaliza hili peke yake bali ni kulikata watanzania wote na kuwa na umoja kama mwanzo.Amani tunaibomoa wenyewe na sisi wenyewe ndio tunachangia kuharibu imani ambayo tunayo watanzania.Tukithubutu kutenda tutatenda ila tukithubutu kutulia na kujenga maendeleo tutayajenga.
WATANZANIA WENZANGU TUKATAE;
Usikubali uwe miongoni mwa wapoteza amani Tanzania unavyofanya mtoto wako anajua na kukuona na jamii kwa jumla.

No comments:

Post a Comment